WAKAZI wa kata ya Mwanase Halmashauri ya Msalala mkoani Shinyanga, wamejikuta bila makazi baada ya mvua kubwa iliyoambatana ...
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa kushirikiana na kampuni ya LS Solutions, wameanza rasmi utekelezaji wa Mradi wa ...
Viongozi wa taasisi za umma pamoja na sekretarieti ya Mkoa wa Pwani wamekutana katika kikao maalum cha kutathmini na kuweka mkakati wa pamoja wa utekelezaji wa ahadi za siku 100 za Rais Samia. Kikao ...
VIONGOZI mbalimbali wa Serikali na Chama cha Mapinduzi (CCM) waliofika nyumbani kwa Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama, eneo la Itega jijini Dodoma, kutoa salamu za pole kufuatia kifo chake ...
A fierce wildfire that erupted on Mount Hanang’ mid last week has destroyed more than 170 hectares of forest and stirred deep anxiety among residents, exactly one year after catastrophic mudslides ...
Kesi Na. 30210/2025 inayowahusisha Rosemary Mwakitwange na wenzake wawili dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, wajumbe nane wa Tume ya Uchunguzi ya Matukio ya Oktoba 29, 2025, pamoja na Chama cha ...
ZANZIBAR Revenue Authority (ZRA) has launched a series of special tax service camps, dubbed "ZRA Mtaani Kwako" (ZRA in Your Neighborhood), across various locations to make public access to revenue ...
DAR ES SALAAM's renowned contemporary art centre and creative hub, Nafasi Art Space, has launched the sixth edition of its initiative, known as the Feel Free grant and incubation. The initiative, as ...
Mbunge wa Mbozi, Onesmo Mnkondya, ameendelea kutekeleza ahadi zake kwa vitendo baada ya kukabidhi gari jipya lenye thamani ya takribani shilingi milioni 52, ambalo litatumika kusafirisha wagonjwa na ...
Manispaa ya Kibaha imetenga Sh milioni 900 kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vya madarasa kwa wanafunzi wa kidato cha kwanza wanaotarajiwa kujiunga na masomo mwaka 2026. Aidha, imetenga Sh milioni 400 kwa ...
RAIS wa Marekani Donald Trump amewakosoa viongozi wa Ulaya kwa kuwaita dhaifu na kusema Marekani inaweza kupunguza msaada kwa Ukraine. Katika mahojiano ya kina na mtandao wa habari Politico, Trump ...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya, linamshikilia Marry Timotheo, mkazi wa Garijembe kwa tuhuma za kumuua mtoto wake Scola Mwaba (10) , mwanafunzi wa darasa la nne katika Shule ya Msingi Ngonde. Kamanda wa ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results