Ni maajabu ya Musa. "Ndivyo inavyoweza kuelezwa, baada ya moto mkubwa, ambao haujajulikana chanzo chake kuzuka katika Hifadhi ya Mazingira Asili ya Mlima Hanang' ulioko mkoani Manyara." Moto huo, ...
WAKAZI wa kata ya Mwanase Halmashauri ya Msalala mkoani Shinyanga, wamejikuta bila makazi baada ya mvua kubwa iliyoambatana ...
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa kushirikiana na kampuni ya LS Solutions, wameanza rasmi utekelezaji wa Mradi wa ...
Naibu Waziri wa Nishati, Salome Makamba. Naibu Waziri wa Nishati, Salome Makamba, amesema kuwa mradi wa upanuzi wa Kituo cha Kupokea na Kupoza Umeme cha Kinyerezi 1 Extension umekamilika rasmi, ikiwa ...
Viongozi wa taasisi za umma pamoja na sekretarieti ya Mkoa wa Pwani wamekutana katika kikao maalum cha kutathmini na kuweka mkakati wa pamoja wa utekelezaji wa ahadi za siku 100 za Rais Samia. Kikao ...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, amekutana na Balozi wa Saudi Arabia nchini Tanzania, Yahya Bin Ahmed Okeish, kwa mazungumzo yenye lengo la kuimarisha sekta ya elimu na ...
Katika jitihada za kuboresha upatikanaji wa huduma muhimu, Mwakilishi wa Jimbo la Ole, Seif Hamad ametoa mipira mipya ya maji kwa kijiji cha Simaongwe, vifaa ambavyo vitasaidia kuongeza mtiririko wa ...
VIONGOZI mbalimbali wa Serikali na Chama cha Mapinduzi (CCM) waliofika nyumbani kwa Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama, eneo la Itega jijini Dodoma, kutoa salamu za pole kufuatia kifo chake ...
SERIKALI ya Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo (DRC) imelaani vikali kile inachokiita matumizi ya mara kwa mara ya silaha za maangamizi, zikiwemo ndege zisizo na rubani za mashambulizi (drones), ambazo ...
KAMPUNI ya Tanzania ya Amsons pamoja na nyingine ya nishati barani Afrika, yameanza ushirikiano wa kimkakati na kampuni ya 'Exergy Africa Limited' ya Zambia kujenga na kupanua miradi ya uzalishaji na ...
Mwenyekiti mteule wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibiti mkoani Pwani, Malela Toka, ameapa kuwaletea tabasamu wakazi wa wilaya hiyo katika kipindi cha miaka mitano atakayoshikilia nafasi hiyo. Malela ...
A fierce wildfire that erupted on Mount Hanang’ mid last week has destroyed more than 170 hectares of forest and stirred deep anxiety among residents, exactly one year after catastrophic mudslides ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results